Makampuni ya Ununuzi wa Tumbaku CHUTCU LTD kupitia Vyama vya Msingi (AMCOS) inafanya biashara ya ununuzi wa tumbaku na Makampuni matatu (3) mpaka sasa ambayo niPremium Active Tanzania Limited (PATL)Mkwawa Leaf Tobacco Limited (MLT)Magefa Growers Limited.