Kuuza na Kusambaza Pembejeo za Kilimo

Kununua, kuuza na kusambaza pembejeo za kilimo kwa wanachama wake kwa bei nafuu ili kuboresha mazao ya biashara na chakula.