Huduma Nyingine

Pia tunafanya shughuli nyingine zilizohalali na ambazo hazivunji sheria za nchi kama ni vile kuanzisha viwanda vidogo vidogo na vikubwa katika kuendeleza kazi zilizotajwa hapo juu kwa kufuata kanuni, masharti ya chama na sheria ya vyama vya ushirika Na.6 ya mwaka 2013 inavyoelekeza sambamba na Kanuni zake za mwaka 2015.