Makampuni ya Ununuzi wa Tumbaku

CHUTCU LTD kupitia Vyama vya Msingi (AMCOS) inafanya biashara ya ununuzi wa tumbaku na Makampuni matatu (3) mpaka sasa ambayo ni

  1. Premium Active Tanzania Limited (PATL)
  2. Mkwawa Leaf Tobacco Limited (MLT)
  3. Magefa Growers Limited.